Thursday, April 9, 2009

SHEIKH YAHYA HUSSEIN BADO ANADAI


Sheikh yahya hussein anasema bado yuko hai na anaendela vizuri tuu, hayo aliyasema akiwa nyumbani kwake mara tuu alipoongea na waandishi wetu wa habari, pembeni yake ni mkewe bi fetty,

1 comment:

Anonymous said...

mmmmmhh hii ni aibu zee zima nini kuoana. Na huyu "gold digger" kamuokota mashimo ya wapi. yani mabinti wa kibongo....DESPARATE!