Saturday, April 4, 2009

Muheshimiwa kikwete naye si haba sasa anaweza kuwa alhaji muda wowote

Mheshimiwa kikwete akiwa na baadhi ya wazee wenzake wanaotawala naye nchi , Seif shariff hamad pamoja na mheshimiwa Abraham lipumba, mala baada ya kutokea katikahoteli ya lamada jijini Dar es salaam ilipokuwa ikifanyika ibada ya dua ya kumuombea Shekhe Shaaban khamis Mloo

1 comment:

Mzee wa Taratibu said...

JK ni raisi poa yupo popote hachagui wala habagui, Katika usilamu, ukiristo na ujana na wazee pote yupo.