Saturday, June 20, 2009

KUMEKUCHA TANZANIA MAMBO YA UCHAGUZI


Mgombea wa CCM Oscar Rwegasira Mukasa akijinadi wa wapiga kura katika Kijiji cha Mavota wilaya Biharamulo katika moja ya mikutano ya CCM ya kampeni kuwania kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Biharamulo Magharibi.Picha na Frederick Katulanda

1 comment:

Born 2 Suffer said...

Tunaomba yapite kwa usalama inshaallah yasitokee kama sehemu zingine za dunia.